
Wanne waliohukumiwa kwa kumuua mwanafunzi, aliyezikwa bila kichwa waachiwa
Arusha. Dosari za kisheria zimewaepusha adhabu ya kunyongwa hadi kufa watu wanne, waliokuwa wamehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Tabora baada ya kukutwa na hatia ya kumuua aliyekuwa mwanafunzi wa sekondani, Hosam Salum (18). Mwanafunzi huyo aliyekuwa akitumia muda wake wa ziada kuendesha bodaboda, alikutwa amefariki dunia na mwili wake ukiwa hauna kichwa ambapo alizikwa…