
CCM yaonya vikao vya mchujo, teuzi
Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa maagizo kwa kamati za siasa za chama hicho kutenda haki na wasionee watu katika vikao vya mchakato wa mchujo kwa watia nia waliomba kugombea udiwani na ubunge ili kupunguza malalamiko na manung’uniko. Chama hicho kimetoa maagizo hayo siku moja baada ya kufungwa kwa dirisha la uchukuaji na…