
UCHAMBUZI WA MJEMA: Sababu 10 za ‘kibongo bongo’ kwanini asilimia 50 ya wabunge hawatarudi 2025
Spika wa Bunge la 12 ambalo limefikia ukingoni, Dk Tulia Ackson anasema tathmini inaonyesha kila bunge linapovunjwa na kuingia kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,wabunge na madiwani, asilimia 50 ya wabunge huwa hawarudi bungeni. Ingawa Spika anasema tathmini inaonyesha ni asilimia 50 hivi, lakini tathmini nyingine huru zinaonyesha ni kati ya asilimia 50 hadi 60 huwa…