
RAIS SAMIA ANAPENDA KUFANYA KAZI NA VIONGOZI WA DINI – DKT. BITEKO
📌 Asisitiza milango ya Rais Samia ipo wazi kwa ajili ya mazungumzo kwa mustakabali wa Taifa 📌 Asema Serikali inatambua na kuthamini kazi kubwa inayofanywa na Taasisi za dini 📌 Serikali kuendelea kushirikiana na Taasisi za dini kuchochea maendeleo 📌 Uchaguzi ni daraja la amani na maendeleo si chanzo cha mifarakano – Baba Askofu Shoo…