Vituo vya CNG kufikia 12 mwishoni mwa 2025

Dar es Salaam. Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema kuwa ifikapo mwisho wa mwaka huu, vituo 12 vya gesi asilia iliyosindikwa (CNG) vitakuwa vinafanya kazi kwa uwezo kamili. Hatua hiyo inalenga kukabiliana na ongezeko la mahitaji ya nishati safi, sambamba na kupunguza msongamano wa magari unaosababisha foleni ndefu katika vituo vya mafuta. Mhandisi…

Read More

Mfumo wa kufuatilia wajawazito wenye uchungu

Dar es Salaam. Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) imezindua ubunifu wa kidijitali unaoitwa Mamatrack, mfumo wa uchunguzi wa wakati halisi unaotumika kufuatilia maendeleo ya uchungu wa uzazi pamoja na kutathmini afya ya mjamzito na mtoto aliye tumboni. Mfumo huo umeonyeshwa kwa mara ya kwanza katika Maonyesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa…

Read More

Hii hapa ratiba kamili ya mchakato wa uchaguzi CCM

Dar es Salaam. Baada ya kukamilika kwa mchakato wa uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuomba uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi za ubunge na udiwani, kamati za siasa zinaanza vikao vyake kesho Julai 4, 2025 kuwajadili waliotia nia. Hatua hiyo ya pili inakwenda kutoa nafasi kwa kamati za siasa kuchuja wagombea na…

Read More

Tunduru: Viuatilifu kuongeza uzalishaji wa Korosho Tunduru

Tunduru-Ruvuma. Baadhi ya wakulima wa zao la korosho katika Tarafa ya Nakapanya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,wamepongeza mpango wa Serikali wa kutoa bure viuatilifu vilivyowezesha kuongeza uzalishaji wa zao hilo mashambani na kujikwamua na umaskini. Wakulima hao wamesema,viuatilifu hivyo vimesaidia sana kuzalisha korosho zilizobora na kukufua ndoto za wakulima ambao awali walikata tamaa kutokana na…

Read More

DKT CHANG’A AFANYA MAZUNGUMZO YA KITALAMU NA KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO)

………….. Geneva, Katibu Mkuu wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (World Meteorological Organization – WMO) Prof. Celeste Saulo ameahidi kushirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) katika kuboresha huduma za hali ya hewa kwa matumizi katika sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii. Ameyasema hayo wakati wa kikao baina yake na Dkt. Ladislaus…

Read More