
BREAKING: MCHEZAJI WA LIVERPOOL DIOGO JOTA AFARIKI DUNIA
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV MSHAMBULIAJI wa timu ya Liverpool na timu ya taifa ya Ureno Diego Jota amefariki dunia kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea Zamora nchini Hispania Taarifa za kifo cha Mchezaji huyo ambaye alikuwa na umri wa miaka 28 zimeripotiwa na vyombo vyza habari vya nchini Ureno pamoja na Hispania Diogo Jota…