
KATAMBI : BADO NINA NGUVU YA KUENDELEA KUWATUMIKIA WANANCHI UBUNGE SHINYANGA MJINI
Mhe. Patrobas Katambi akitoa neno la shukrani baada ya kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania tena nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini.Mhe. Patrobas Katambi akitoa neno la shukrani baada ya kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania tena nafasi ya Ubunge wa…