
Majaliwa aliwaweka matumbo joto wazembe na wabadhirifu
Dodoma. Wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitangaza kuwa hatagombea tena kiti cha ubunge, aliwaweka matumbo joto wazembe na ubadhirifu. Uamuzi wa Majaliwa kutogombea umetangazwa leo Jumatano, Julai 2,2025 zikiwa zimepita siku saba tangu ahutubie hotuba yake ya mwisho kwa wabunge akiwaomba wananchi wa Ruangwa kujiandaa akisema anakwenda kuchukua fomu. Kutogombea ubunge kutahitimisha his-toria ya Majaliwa…