
Gwajima aingia mitini jimbo la Kawe
Dar es Salaam. Wakati uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuomba ridhaa ya kuwania ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) ukitamatika leo, Julai 2, 2025, mbunge wa Kawe anayemaliza muda wake, Joseph Gwajima, si miongoni mwa walioomba ridhaa hiyo. Gwajima, aliyeliongoza jimbo hilo kuanzia mwaka 2020 hadi…