
Mbunge Pekee wa Chadema Awaaga Wapiga Kura Wake – Global Publishers
Mbunge wa Nkasi anayemaliza muda wake kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Aida Kenani amewaaga wapiga kura wake leo Jumatano Julai 02, 2025 na kuwaambia sababu za kuwaaga. Aida ametumia muda mwingi kuwafafanulia kwa nini hagombei tena mwaka huu na amisema: “Ndugu zangu, leo Julai 2, 2025 nimekuja hapa kuwashukuru lakini pia kuwaaga najua…