
Kijana abuni mashine ya kumwagilia dawa shambani
Dar es Salaam. Kijana Innocent Mabilika (25) amebuni mashine inayoweza kuwasaidia wakulima kupulizia dawa za kuua wadudu katika mashamba yao kwa urahisi na gharama nafuu. Mabilika ambaye hajasomea ubunifu huo, amesema hayo leo Julai 2, 2025 alipozungumza na Mwananchi katika Maonyesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ua Dar es Salaam (DITF) maarufu Sabasaba yanayoendelea…