Maisha ya watoto ‘yalibadilika’ na vita kote Mashariki ya Kati, Afrika Kaskazini, anaonya UNICEF – Maswala ya Ulimwenguni

Kwa kushangaza, watoto milioni 110 katika mkoa huo wanaishi katika nchi zilizoathiriwa na vita, na nyumba, shule na vituo vya afya vilivyoharibiwa au kuharibiwa katika mapigano. “Maisha ya mtoto yanabadilishwa sawa na kila sekunde tano kutokana na mizozo katika mkoa,” Alisema Edouard Beigbeder, UNICEF Mkurugenzi wa Mkoa wa Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Jumanne….

Read More

Wafanyakazi wa majumbani 700 wapewa mafunzo Veta

Dar es Salaam. Zaidi ya wafanyakazi wa majumbani 700 wamepatiwa mafunzo ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi kupitia mtalaa mpya ulioanzishwa na Mamlaka ya Ufundi Stadi (Veta). Mtaala huo ulioanza Aprili mwaka jana unatekelezwa na Veta kwa kushirikiana na Shirika la CVM ukilenga kuboresha utendaji kazi wa wasaidizi hao na kuondoa malalamiko yaliyokiwapo awali…

Read More

TPDC, Energetech-Tantel wasaini makubaliano kuwezesha usindikaji na usambazaji wa gesi asilia nchini

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Energetech-Tantel zimetiliana saini Hati ya Makubaliano (MOU) itakayowezesha usindikaji na usambazaji wa gesi asilia nchini kote. Utiaji saini wa tukio hilo la kihistoria, ulishuhudiwa Kamishna wa Petroli na Gesi, Wizara ya Nishati nchini Tanzania Bw. Goodluck Shirima, akiwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dk….

Read More

DIB Yalipa Bilioni 9 kwa Wateja wa Benki Zilizofungwa

Bodi ya Bima ya Amana (DIB) imewahimiza wananchi waliokuwa wateja wa benki zilizofungwa kutokana na kufilisika kujitokeza ili kuwasilisha madai yao ya fidia, huku ikibainisha kuwa kiasi cha shilingi bilioni 9.07 tayari kimelipwa kwa wateja wanaostahili. Fidia hiyo inawakilisha asilimia 75.76 ya madai yote yaliyowasilishwa hadi Machi 2025 kwa wateja wa benki saba ambazo ni…

Read More

Muuza barakoa aliyepigwa risasi kwenye maandamano afariki

Dar es Salaam. Taarifa kutoka nchini Kenya zinasema kijana muuza barakoa aliyepigwa risasi kwenye hekaheka za maandamano ya Juni 17, 2025 amefariki dunia. Kijana huyo kutoka Nairobi aliyejulikana kwa jina Boniface Kariuki alionekana kwenye kipande cha video akipigwa risasi kichwani na polisi kwa karibu akiwa katika moja ya mtaa wa jiji hilo. Vyombo vya habari…

Read More

ASANTENI WANA RUANGWA -MAJALIWA

………….. WAZIRI MKUU, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa leo Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa jimbo la Ruangwa baada ya kulitumikia jimbo hilo kwa miaka 15. Akizungumza na wajumbe wa kamati ya Siasa ya Mkoa na Wilaya ya Ruangwa Mheshimiwa Majaliwa ametumia fursa hiyo kuwashukuru wananchi kwa kumuunga mkono…

Read More