
Mtego wa senene kukuza kipato
Dar es Salaam Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) imetengeneza mashine rafiki kwa mazingira ya kuvunia senene, wadudu wanaothaminiwa na kabila la Wahaya mkoani Kagera, lengo likiwa ni kukuza ajira hasa kwa vijana. Imeelezwa kuwa, mbinu za jadi zinazotumiwa na jamii za eneo hilo hasa Wahaya zimepitwa na wakati kwa kuwa, husababisha…