
KONA YA MALOTO: UVCCM wanavyogeuka ‘wapangaji’ kwenye nyumba yao ya chama
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetawala mitandao ya kijamii. Uchukuaji fomu za kuwania ubunge na udiwani, ni mada ambayo inajadiliwa na wengi. Kuanzia aina waliojitokeza hadi idadi kubwa ya wanaoomba uteuzi wa kuwa wagombea. Watu ni wengi na mseto ni mpana, maana wamejitokeza wa kila aina. Ni fursa nzuri kwa wajumbe wa CCM kuchuja na kupata…