
Wasio tayari wang’atuliwe | Mwananchi
Kwa asilimia kubwa, akili za wabongo ni kama za kushikiwa. Kila siku benki zinatoa elimu, matangazo na ofa ili kuwahamasisha watu kujiwekea akiba. Lakini wabongo wanazikimbia benki hizo na kwenda kuwekeza kwenye “michezo” ya vijumbe mtaani. Wanapodhulumiwa ndipo wanapojikusanya na kuanza kupiga mayowe na kulalamika kwa watu ambao hawawezi kuwasaidia kwa lolote. Wabongo hushindwa kuyaratibu…