
Makombe matatu yawagawa mabosi Yanga
ULILIONA vaibu la Yanga juzi kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere pale Dar? Je unajua lile vaibu lilitokana na nini? Kina nani walioteka ile shoo? Sikia, achana na mambo mengine yooote yaliyokuwa yakiendelea, lakini kwa mashabiki wa timu hiyo ilikuwa ni zaidi na sherehe na wachezaji wao kutokana na kufanikiwa kubeba makombe…