
Wanafunzi wawili wafariki kwa kufukiwa na kifusi
Dodoma. Wanafunzi wawili wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Mbalawala jijini Dodoma wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi cha mchanga wakati wakichimba mchanga Mbalawala jijini Dodoma. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CCM wa Kata ya Mbalawala, Athanas Sajilo, waliofariki ni Oscar Richard (19) na Andrea Chibago (19) huku…