KIKEKE AUTAKA UBUNGE MOSHI VIJIJI

Na Pamela Mollel,Kilimanjaro Mwandishi wa Habari Mkongwe na Mtangazaji Salim Kikeke amechukua Fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.

Read More

RC KAGERA AWASILISHA MAFANIKIO YA MKOA WAKE

………. MKuu wa mkoa wa kagera, mhe Hajjat Fatma Mwasa Leo julai 1,2025 amezungumza na watanzania kupitia mkutano wa waandishi wa habari jijini Dodoma Kuhusu mafanikio ya serikali ya awamu ya sita katika mkoa huo. Ambapo ndani ya uwasilishaji wa mafanikio hayo amegusia kuhusu kuanzisha kampeni maalumu ya kuhamasisha wananchi kula mlo kamili kwa kutumia…

Read More

ACT Wazalendo: Wanaosusa uchaguzi wajifunze kwa wazee

Kigoma. Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Issihaka Mchinjita amesema kususia uchaguzi si mbinu stahiki ya kukabili ukiukwaji haki na sheria wowote unaofanywa nchini, badala yake kunahitajika ushirikiano na mshikamano katika harakati za kufanikisha mapambano hayo. Ameijenga hoja hiyo, huku akirejea historia ya harakati zilizofanywa na wazee wakati wa kuiondoa Serikali ya kikoloni, akisema hawakususa…

Read More

MKOA WA KAGERA WAPOKEA TRILIONI 1.131 ZA MAENDELEO KATIKA SEKTA MBALIMBALI.

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe Hajjat Fatma Mwassa amesema kuwa katika kipindi cha November 2020 hadi Aprili 2025 Mkoa wake umepokea jumla ya Shilingi Trilioni 1.131 kwaajili ya Maendeleo katika Sekta mbalimbali ikiwemo Afya,Elimu na Miundombinu ya Barabara. Ambapo amesema katika Sekta ya Afya zimetolewa Shilingi 146,340,236,113.41 na kupelekea…

Read More

Bashiri GG&3+ Real vs Juve Ushinde Mara 2

LEO tena katika dimba la Hard Rock kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Real Madrid vs Juventus. Timu zote zinawania nafasi ya kwenda Robo Fainali. Bashiri mechi hii na chaguo la GG&3+ uibuke bingwa sasa. Juventus ambao wana kocha mpya Igor Tudor wanahitaji kushinda taji hili lenye thamani kubwa baada za kumaliza…

Read More

AMANZI NA BABU TALE USO KWA USO JIMBONI

Aliyekuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM Tawi la Chuo Cha Kodi na Mjumbe wa Seneti ya Mkoa wa Dar es Salaam Mwaka 2021/2022, Amechukua na kurudisha fomu ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Leo Tarehe 30/06/2025, Amanzi ameingia rasmi Kugombea Jimbo Moja na Mbunge aliyemaliza Muda wake katika Jimbo Hilo…

Read More