UN inahimiza Israeli kuruhusu mafuta kuwa strip – maswala ya ulimwengu

“Huku kukiwa na shughuli za kijeshi za Israeli zinazoendelea, Watu wengi wameripotiwa kuuawa na kujeruhiwa, pamoja na wakati wanasubiri chakula“Ofisi ya UN ya Uratibu wa Maswala ya Kibinadamu (Ocha) alisema. “Mwishoni mwa juma, kulikuwa na ripoti nyingi za mashambulio ya kupiga nyumba, na pia shule zinazowakaribisha watu waliohamishwa,” iliongeza. Njaa ya janga Ocha alibaini kuwa…

Read More

Mizigo inavyoibwa kwenye malori | Mwananchi

Dar es Salaam. Ni saa saba usiku wa kuamkia Juni 23, 2025 pembezoni mwa Barabara ya Morogoro, eneo la Kwa Mfipa kuelekea Mwendapole hadi Tanita, Kibaha mkoani Pwani, linapandana kundi la vijana takribani sita wakipokezana mizigo kuishusha kutoka kwenye malori yanayofanya safari za mikoani na nje ya nchi. Ni nyakati ambazo, isingekuwa rahisi kuona pilika…

Read More

Hatari vifungashio vyenye taarifa za watu vikisambaa

Dar es Salaam.  Umewahi kukutana na kifungashio kilichotengenezwa kwa karatasi zenye taarifa binafsi za mtu? Kama hujawahi kukutana na hili basi karibu Dar es Salaam Jiji lenye kila aina ya hekaheka, huku unaweza kufungiwa maandazi kwenye nakala ya cheti cha mtu cha kuzaliwa au karatasi ya mtihani. Awali, ilionekana kawaida lakini kadiri siku zinavyozidi kwenda…

Read More

Kutoka mipango, mauaji mpaka askari kunyongwa– 2

Dar es Salaam. Askari saba wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara walishtakiwa kwa kumuua makusudi, Mussa Hamis, mfanyabiashara wa madini, mazao ya biashara na mavazi kutoka Wilaya ya Nachingwea, Lindi. Walitenda kosa hilo, Januari 5, 2022, katika Kituo cha Polisi Mitengo wilayani humo. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Gilbert Sostenes Kalanje aliyekuwa Mrakibu wa…

Read More

Wanawake wahamasishwa ushiriki utunzaji mazingira

Dar es Salaam. Taasisi ya The Climate Hub imesema ushiriki wa wanawake na vijana katika usimamizi wa mazingira unakabiliwa na changamoto kubwa, huku ikisema hali hiyo inaweza kuchelewesha juhudi za kufikia malengo. Takwimu zinaonyesha kuwa asilimia 33.3 pekee ya wanawake ndio wanashiriki katika kamati za mazingira. Hayo yamesemwa leo Julai Mosi, 2025 na Msimamizi wa…

Read More

Dante aaga KMC akicha maswali aendako

BEKI wa kati wa zamani wa Yanga, Vincent Andrew ‘Dante’ ametangaza kuachana na KMC yenye maskani yake Kinondoni baada ya kuitumikia kwa kipindi cha miaka mitano. Dante alitoa shukrani za dhati kwa viongozi, benchi la ufundi, wachezaji wenzake na mashabiki wa KMC kwa kumuamini na kumpa nafasi ya kuonyesha uwezo wake kwa muda wote aliokuwepo…

Read More

Mwelekeo hali ya hewa kwa siku 10 zijazo nchini

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetaja kanda nane nchini zitakazopitia hali ya ukavu na vipindi vya mvua kwa kipindi cha siku 10 kuanzia leo Julai mosi, 2025. TMA kupitia taarifa yake imeeleza, kanda ya Ziwa Victoria yenye mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Mara itakuwa na hali ya…

Read More

NMB yatajwa kinara ithibati usawa wa kijinsia Afrika

Kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka minne, Benki ya NMB imetunukiwa Cheti cha Ithibati ya kutambuliwa kuwa Kinara Katika Mgawanyo wa Kiuchumi Kwenye Suala la Usawa wa Kijinsia Mahali pa Kazi (EDGE Assess), miongoni mwa taasisi za fedha barani Afrika. Cheti hicho kimetolewa na The Edge Certified Foundation ya Uswisi, taasisi inayoongoza duniani…

Read More

Morice mikononi mwa mabosi wa Simba

KLABU ya Simba imetoa mapumziko kwa wachezaji wake, lakini kabla ya kurejea na kuanza maandalizi ya msimu mpya, jambo moja kubwa linaendelea chini kwa chini katika suala la usajili. Unamkumbuka Morice Abraham? Kiungo kijana wa Kitanzania aliyekuwa akifanya mazoezi na Simba kwa muda wa takribani miezi miwili. Taarifa zinasema kuwa aliomba kufanya mazoezi na timu…

Read More