Taharuki mwili wa mtoto aliyepotea ukipatikana Mto Naura, Arusha
Arusha. Hali ya taharuki imetanda katika Mtaa wa Olmokea, Kata ya Sinoni jijini Arusha, baada ya mwili wa mtoto Mishel Kimati, aliyepotea Jumamosi iliyopita kupatikana katika Mto Naura akiwa ameshafariki. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka miwili na nusu, inadaiwa alitoweka katika mazingira ya kutatanisha Jumamosi, Julai 26, 2025 kabla ya mwili wake kupatikana katika…