
Walichozungumza Dk Mpango, Ho Duc Phoc wa Vietnam
Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam, Ho Duc Phoc, yaliyofanyika kando ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika jijini Sevilla nchini Hispania. Katika mazungumzo hayo, Makamu wa Rais amesema Serikali ya Tanzania inathamini ushirikiano ulipo…