
TRA yaandika historia mpya ya makusanyo
Dar es Salaam. Wakati mwaka mpya wa fedha ukianza leo, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imemaliza mwaka wa fedha 2024/2025 kwa mafanikio, ikivuka lengo la makusanyo yake na kuandika historia mpya ya ukusanyaji. Katika mwaka huo wa fedha, lengo lilikuwa kukusanya Sh31.5 trilioni, ila hadi kufikia Juni 30, makusanyo yalifikia Sh32.2 trilioni, ambayo ni ufanisi…