
Akili unde kusaidia matibabu ya afya ya akili
Dar es Salaam. Kutambua hatua za haraka ili kutibu tatizo linalokusumbua ni moja ya njia inayoweza kukusaidia kuwa salama. Lakini baadhi ya magonjwa kama msongo wa mawazo, wasiwasi na matatizo ya kihisia wakati mwingine imekuwa vigumu kuyabaini mwanzoni, ndipo kikundi cha wabunifu vijana kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kilipokuja na suluhisho. Kikundi hicho kinatumia…