
Dismas Nsindo ajitosa udiwani Kata ya Buyuni
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dismas Nsindo, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Kuwania Udiwani WA Kata ya Buyuni, wilayani Ilala, mkoani Dar es salaam. Nsindo ambaye ni mdau wa michezo, amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Kata Buyuni, jijini Dar es Salaam leo. Dirisha la utoajia wa fomu Kwa wanachama ndani…