
NJOLO ACHUKUA FOMU UBUNGE JIMBO LA TUNDURU KUSINI
Tunduru – Ruvuma. Jumla ya Wanachama 8 wa Chama cha Mapinduzi Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma, wamejitokeza kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba Mwaka huu. Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilayani Tunduru Yusuf Mabema amesema,kati ya wanachama hao 3 wanatoka Jimbo la Tunduru Kaskazini akiwemo aliyewahi kuwa Mbunge wa…