Mkenya airahisishia Simba | Mwanaspoti

WAKATI Simba ikifukuzia saini ya winga wa Polisi ya Kenya, Mohammed Omar Ali Bajaber kwa ajili ya kuboresha kikosi hicho msimu ujao, kwa sasa mabosi wa timu hiyo washindwe wenyewe. Simba ambayo iliyopoteza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kumaliza nafasi ya pili katika Ligi Kuu Bara, imekuwa ikifanya usajili ya kimya kimya na…

Read More

Tahadhari ya homa ya ini, hizi ndizo dalili zake

Dar/Mwanza. Wakati watu 6,000 hupata maambukizi mapya kila siku ya homa ya ini kila siku duniani, wataalamu wa afya wamesema dalili zake zinafanana na magonjwa mengine ya kawaida huku waliozaliwa kabla ya mwaka 2003 wakiwa hatarini zaidi. Hali hiyo inatokana na kutokuwepo kwa chanjo ya Hepatitis B kwa watoto waliyezaliwa kabla ya 2003. Kwa mujibu…

Read More

Jaji Mwanga apinga sababu za Chadema kumkataa

Dar es Salaam. Jaji Hamidu Mwanga wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, amegoma kujitoa kusikiliza kesi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali, baada ya kuzikataa hoja zote akisema si za msingi. Kabla ya kufikia hitimisho hilo, Jaji Mwanga amepangua sababu za walalamikiwa kumkataa akisema hazikidhi vigezo…

Read More

Dili la Jabir latibuka Mtibwa

MABINGWA wa zamani wa soka Tanzania, Mtibwa Sugar waliorejea Ligi Kuu msimu ujao, walikuwa katika mazungumzo ya kumwongezea mkataba mshambuliaji Anuary Jabir, lakini dili hilo limetibuka kutokana na pande hizo kushindwa kuafikiana katika ishu ya masilahi, hivyo jamaa anaendelea na yake. Msimu uliyopita Jabir alimaliza na mabao manane na asisti moja akiwa na Mtibwa iliyorejea…

Read More

ATCL na Kenya Airways watakavyoshirikiana

Dar es Salaam. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) na Shirika la Ndege la Kenya (Kenya Airways) wameingia ushirikiano wa kimkakati unaolenga kuimarisha uwezo wa kitaasisi, kuboresha viwango vya uendeshaji na kuongeza ushindani katika soko la usafiri wa anga la kikanda na kimataifa. Mashirika hayo mawili yamesaini Makubaliano ya Maelewano (MoU) yanayolenga kujenga uwezo wa…

Read More

Vicky amfuata Madina Uganda Ladies Open

BAADA ya kufanya vizuri katika michuano ya Uganda Ladies Open mwaka jana, Mtanzania Vicky Elias ametangaza nia kushiriki tena michuano ya mwaka huu na anawaomba wadau kumuunga mkono ili kufanikisha azma yake. Vicky anakuwa Mtanzania wa pili kuwania taji la Uganda Ladies Open baada ya Madina Idd wa Arusha, ambaye alithibitisha ushiriki wake juma lililopita….

Read More

Polisi aliyefukuzwa kazi kisa rushwa aangukia pua mahakamani

Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Mbeya imetupilia mbali maombi ya mapitio ya Mahakama aliyofungua aliyekuwa ofisa wa Jeshi la Polisi, Justine Madauda, aliyekuwa akiiomba Mahakama kupitia uamuzi uliositisha ajira yake kwa sababu ya kesi ya rushwa na mauaji. Mahakama hiyo imetupilia mbali maombi hayo kwa sababu yamewasilishwa nje ya muda. Madauda aliajiriwa na Jeshi…

Read More

Mligo ajiunga Chaumma, awataja Mbowe na Makalla

Dar es Salaam. Aliyekuwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Sigrada Mligo amekikacha chama hicho na kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), akiukumbuka wema wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo  wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla. Amesema ameondoka Chadema baada ya kuwepo kwa madai kutoka kwa viongozi wa…

Read More