Uchangiaji luku, maji, usafi unavyosababisha migogoro
Dar es Salaam. Kadiri baadhi ya watu wanavyokwepa kuchangia gharama za huduma muhimu kama maji, umeme, ulinzi shirikishi na uzoaji wa taka katika nyumba wanazoishi, ndivyo wanavyokwamisha upatikanaji wake kwa wengine, hali inayozua malalamiko na migogoro. Huduma kama ununuzi wa umeme (luku), bili za maji na usafi katika nyumba za kupanga huathiriwa moja kwa moja…