Sakata la Mgunda Mashjaa, Singida BS bado kitendawili
LICHA ya Mashujaa kumtambulisha aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Ismail Mgunda, kwa ajili ya kukichezea kikosi hicho msimu ujao, kumekuwa na sintofahamu baada ya kudaiwa pia nyota huyo amesaini mkataba na Singida Black Stars. Nyota huyo aliitumikia Mashujaa msimu wa 2024-25, kisha baadaye kuuzwa kwenda AS Vita Club ya DR Congo katika dirisha dogo la…