 
        
            Mpinzani wa Rais Biya azuiwa kushiriki uchaguzi mkuu
Dar es Salaam. Wakati ikiwa imesalia miezi miwili kabla ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, Maurice Kamto mpinzani wa Rais wa Cameroon Paul Biya amezuiwa kushiriki uchaguzi huo. Rais Biya mwenye umri wa miaka 92, yeye atagombea tena mwaka huu ikiwa ni muhula wa nane wa uongozi katika nchi hiyo. Biya ndiye Rais…
 
                         
                         
                         
                         
                         
                         
         
         
         
         
         
         
         
        