 
        
            MATUKIO KATIKA PICHA; BALOZI DKT. NCHIMBI AKIZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na kuagana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdory Mpango, baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa. Mkutano huo ulioongozwa na Mwenyekiti…
 
                         
                         
                         
                         
                         
                         
         
         
         
         
         
        