 
        
            Kibano kinachowasubiri waliojiandikisha mara mbili kupiga kura
Dar es Salaam. Baada ya kubainika uwepo wa watu kujiandikisha zaidi ya mara moja kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura, imeelezwa kuwa, kutojua sheria sio kinga mbele ya sheria. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambele watu 8,703 wamebainika kujiandikisha zaidi ya mara moja. Imeelezwa kuwa, kufanya…
 
                         
                         
                         
                         
                         
                         
         
        