
Mashabiki 45 wanusurika kifo Mwanza, basi la Chama cha Walimu likiteketea kwa moto
MASHABIKI 45 wamenusurika kifo katika ajali ya moto iliyohusisha basi la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) lililokuwa likienda Dar es Salaam, baada ya kuungua kwa moto katika Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza. Ajali hiyo imetokea leo Julai 31, 2025, katika eneo la Bushini, Kata ya Malenve, ambapo gari hilo aina ya Eicher lenye namba za…