 
        
            Wakumbushwa kudhibiti taka za plastiki, kulinda mazingira
Dar es Salaam. Wakazi wa Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wametakiwa kuacha matumizi holela ya bidhaa za plastiki, kwani yanahatarisha maisha ya viumbe hai na mazingira kwa ujumla. Wito huo umetolewa leo Julai 27, 2025 na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule wakati wa shughuli ya usafi iliyofanyika katika eneo la Kunduchi…
 
                         
                         
                         
                         
                         
                         
         
         
        