Hebron aahidi makali Uturuki | Mwanaspoti

KIUNGO wa Sisli Yeditepe, Shedrack Hebron amesema Ligi Kuu ya Uturuki itarejea mwezi wa 10, lakini mashindano mbalimbali anayoshiriki yatazidi kumweka fiti kwa ajili ya msimu mpya. Hebron anacheza Ligi Kuu ya Uturuki pamoja na Watanzania wenzake, Ramadhan Chomelo wa Konya na Mudrick Mohamed anayekipiga Mersin. Akizungumza na Mwanaspoti, Hebron alisema kitendo cha kuibuka mfungaji…

Read More

Mapigano makali mpakani mwa Thailand na Cambodia

Dar es Salaam. Thailand na Cambodia zinashambuliana vikali katika mpaka unaotenganisha nchi hizo za bara la Asia, huku makumi ya watu wakiripotiwa kuuawa. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya RFI, DW hadi sasa watu 33 wameshafariki dunia kutokana na mapigano hayo. Mapigano hayo yamefikia siku ya tatu ambapo zaidi ya watu 168,000 wamekimbia makazi…

Read More

TPA kufungua ofisi Kigali Rwanda

Dar es Salaam. Serikali imesaini makubaliano ya uanzishwaji wa Ofisi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari ya Tanzania (TPA) jijini Kigali, nchini Rwanda, kama sehemu ya hatua za kuimarisha uhusiano wa karibu na kukuza maendeleo ya pamoja baina ya Tanzania na Rwanda. Kuanzishwa kwa ofisi ya TPA jijini Kigali kunalenga kurahisisha upatikanaji wa huduma za…

Read More

Masista waliofariki kwa ajali Moshi, Kanisa Katoliki latoa pole

Moshi. Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro likiendelea kumshikilia Saimon Paul, dereva aliyesababisha ajali iliyoua masista (watawa) wawili wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, kanisa hilo kupitia mashirika ya masista hao, limetoa pole kwa familia zilizopoteza wapendwa wao. Masista hao, ambao wanatoka mashirika tofauti ya kitume katika jimbo hilo, walifariki dunia Julai 25, 2025…

Read More

Malezi yanavyotutoa kutoka kuwa watu kuwa vitu

Jana nimekutana na Zaynab kwenye kibaraza cha urojo mjini Zanzibar. Zaynab, mama wa watoto wawili, alikuwa amekuja na watoto wake kwa matembezi, lakini kitu kilichonishangaza ni kwamba muda wote watoto walikuwa wameinamia simu zao, kila mmoja na yake, wakiangalia katuni na kucheka, na hapakuwa na mazungumzo. “Imekuwaje Zaynab akaja na watoto lakini hawazungumzi? Kwa nini…

Read More

Wawili watajwa Simba, mmoja akitua Dar

UONGOZI wa Simba unaendelea kuboresha kikosi chake kinachonolewa na Fadlu Davids ukisaka mastaa kutoka ndani na nje ya nchi, huku ukiwa tayari umeshamalizana na nyota kadhaa wanaotarajiwa kuonekana katika mitaa ya Msimbazi msimu ujao wa mashindano. Inaelezwa kwamba lile fuko la fedha ambalo bilionea wa timu hiyo Mo Dewji aliahidi hivi karibuni kwamba ataliachia ili…

Read More