 
        
            Ofisa wa zamani JWTZ, raia waachiwa tuhuma usafirishaji wa bangi
Arusha. Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam imewaachia huru washtakiwa wawili, akiwemo Ofisa wa zamani wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Ngamba Mtopa, waliokuwa wakishtakiwa kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi kilo 168.49. Ngamba alikuwa na nambari za kijeshi MT 71478, kutoka Kongowe,…
 
                         
                         
                         
                         
                         
                         
         
         
        