 
        
            Tahadhari watafutao wenza mitandaoni | Mwananchi
Katika dunia ya sasa ambapo simu janja hazituachi mikononi mwetu, si jambo la kushangaza kuwa hata mapenzi sasa yamehamia mtandaoni. Programu na mitandao ya kutafuta wachumba imebadilisha kabisa namna watu wanavyokutana, kuwasiliana na hata kupendana. Enzi za kukutana kupitia kwa marafiki, shuleni, kazini au kwa bahati tu barabarani, sasa zinaanza kupotea. Leo unaweza tu kuingia…
 
                         
                         
                         
                         
                         
                         
         
        