MAHUBIRI: Mambo yayonayosababisha usifurahie ndoa yako

‎Bwana Yesu asifiwe, leo tumepewa kichwa cha somo kinachosema mambo yanayoweza ‎ 1.MSINGI MBAYA WA NDOA YENU TOKA MWANZO ‎Msingi wa ndoa unaweza kuamua ndoa yako uifurahie au iwe ndoa ya mateso. ‎🎯 Ukijenga ndoa katika msingi mbaya, matatizo yanakuhusu, changamoto zinakuhusu, kilio kinakuhusu, shida zinakuhusu. ‎>>Usipoheshimu misingi ya ndoa, na ndoa haitakuheshimu. ‎>>Usipotii misingi…

Read More

Simba yatua tena Mamelodi ikitaka winga

SIMBA haipoi. Baada ya kudaiwa kunasa saini ya mmoja wa mabeki wa Mamelodi Sundowns, mara hii imerejea tena ikipambana kuchomoa mtu ndani ya timu hiyo ambaye katika mashindano ya Kombe la Dunia la Klabu kule Marekani ulimshuhudia akikipiga katika kikosi hicho. Achana na Rushine De Reuck, beki unayeweza kumuona mitaa ya Msimbazi msimu ujao, lakini…

Read More

Sifa nne beki mpya Simba

WAKATI mashabiki wa Simba SC wakifurahia taarifa za usajili wa beki wa kimataifa wa Afrika Kusini, Rushine De Reuck, mmoja wa wapinzani wake wa muda mrefu katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini, Qobolwakhe Sibande, ametia neno kuhusu ubora wake huku akitaja mambo manne aliyonayo. Sibande anayekipiga klabu ya TS Galaxy, aliwahi kukutana na De Reuck…

Read More

Hekta 11,000 za mikoko zatoweka Pemba

Pemba. Wananchi ambao wanaishi maeneo ya pembezoni mwa Pwani ya Bahari ya Hindi katika Kisiwa cha Pemba, wametakiwa kuhakikisha wanatunza na kuhifadhi misitu ya mikoko ambapo kwa sasa kuna ongezeko la kukatwa na kuharibiwa kwa mazingira yake, jambo ambalo ni hatari kwao. Akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya Mikoko Duniani iliyofanyika katika Shehia ya Shidi…

Read More

EAGT Temeke kuongoza maombi ya kitaifa kuombea uchaguzi mkuu

Dar es Salaam. Wakati taifa linapoelekea katika kipindi cha uchaguzi, waumini wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) Temeke kwa kushirikiana na viongozi wengine wa kiroho wameandaa mkutano wa injili ukiwa na lengo la kuwaombea Watanzania amani, mshikamano, na uongozi wenye maadili kuelekea uchaguzi ujao. Maombi hayo yanatarajiwa kuanza kesho Julai 27, 2025…

Read More