Wapendekeza maboresho ya elimu, sera, tafiti kufikia Dira 2050
Mwanza. Wasomi kutoka vyuo vikuu, watafiti na wahadhiri wa kada mbalimbali nchini wamependekeza mageuzi ya kisera, maboresho ya elimu na kuimarishwa kwa tafiti kama nguzo kuu za kufanikisha Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP). Mapendekezo hayo yametolewa katika kongamano lililoandaliwa na Kituo cha Ubia kati…