Kwa nini uwekezaji kwenye rasilimaliwatu
Dar es Salaam. Jitihada za Tanzania kujenga uchumi imara na wa kisasa, zinaweza zisifue dafu endapo haitaifanyia kazi changamoto ya rasilimaliwatu, nguvu kazi yenye ujuzi, maarifa na uwezo wa kutekeleza majukumu kwa tija ili kufikia ndoto ya kuwa Taifa la kipato cha kati cha juu kufikia 2050. Licha ya Taifa kupiga hatua katika ujenzi wa…