
AGNESS SULEIMAN ‘AGGY BABY’ ASHINDA TUZO MBILI AFRICA ARTS ENTERTAINMENT AWARDS 2025
Mrembo maarufu, mwenye vipaji lukuki na msanii mwenye ushawishi mkubwa katika jamii, Agness Suleiman maarufu kama Aggy Baby, ameweka historia mpya katika tasnia ya burudani na maendeleo ya jamii baada ya kutangazwa Mshindi wa tuzo mbili kubwa kwenye Africa Arts Entertainment Awards (EAEA) 2025. Tuzo hizo zilitolewa rasmi tarehe 25 Julai 2025 katika hoteli…