
Bandari Kwala itakavyopunguza msongamano barabarani Dar
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Aboubakar Kunenge amesema kuanza kazi kwa treni ya kupeleka mizigo katika Bandari kavu ya Kwala kutoka bandari ya Dar es Salaam kutasaidia kupunguza msongamano wa magari kwa asilimia 30. Ametoa kauli hiyo wakati akitoa salamu za mkoa wake katika hafla ya ufunguzi wa Bandari kavu ya Kwala…