Kocha Mbelgiji akiri Yanga imepata jembe!

KIKOSI cha Yanga inaendelea kusukwa kwa mashine mpya zikitambulishwa sambamba na wale waliokuwapo katika kikosi cha msimu uliopita wakiongezewa mikataba kama alivyofanyiwa Danis Nkane, Mudathir Yahya na Pacome Zouzoua, lakini kuna mido mmoja aliyetua ghafla Jangwani. Ndio, Yanga imeshakamilisha dili la kiungo Lassine Kouma ambaye wakati wowote kuanzia leo ataanza safari ya kuja nchini kufanyiwa…

Read More

Mkongwe Yanga amtaja Bacca | Mwanaspoti

STAA wa zamani wa Yanga, Ladslaus Mbogo ameshindwa kuficha hisia alizonazo, akimtaja beki wa kati wa timu hiyo, Ibrahim Bacca kuwa mchezaji anayetikisa katika nafasi hiyo kwa miaka ya sasa, huku akilia na soka la Mwanza. Mbogo aliyewahi kutamba na timu hiyo kwa mafanikio, akicheza pia soka la kulipwa nje ya nchi kwa kukipiga Olympique…

Read More

Mpanzu arejea Simba kibosi, mchongo mzima upo hivi

NYOTA w Simba wameanza kurejea kutoka mapumzikoni ili kuanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano wa 2025-2026, huku kiungo mshambuliaji, Ellie Mpanzu akishtua zaidi kwa kurudi kibosi. Nyota huyo raia wa DR Congo aliyejiunga na Simba kupitia dirisha dogo la msimu uliopita na kuhusika katika mabao 10, akifunga manne na kuasisti sita alikuwa akitajwa huenda…

Read More

Katika anwani ngumu ya haki za binadamu, Guterres inataka hatua za haraka juu ya Gaza, udikteta na haki ya hali ya hewa-maswala ya ulimwengu

Kukumbuka uzoefu wake mwenyewe anayeishi chini ya udikteta nchini Ureno, Bwana Guterres aliwaambia washiriki katika mkutano wa kimataifa wa haki za kimataifa za Amnesty International mnamo Ijumaa kwamba mapigano ya haki za binadamu ni “muhimu zaidi kuliko hapo awali”. Alitoa wito kwa majimbo kutekeleza sheria za kimataifa na kutetea haki za binadamu “mara kwa mara…

Read More

Milioni 1.3 kurudi nyumbani kwa Sudan, kutoa tumaini dhaifu la kupona – maswala ya ulimwengu

“Maelfu ya watu wanaotafuta kurudi nyumbani wanaendeshwa na tumaini, ujasiri na uhusiano wa kudumu kwa nchi yao,” alisema Othman Belbeisi, Mkurugenzi wa Mkoa ya Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM). Wakati maendeleo haya yanatoa tumaini, wengi wa watu hawa wanarudi katika majimbo na miji ambayo rasilimali zao zimeharibiwa na zaidi ya miaka miwili ya vita….

Read More

Afikishwa kortini akidaiwa kutapeli Sh62 milioni

Dar es Salaam. Mfanyabiashara Shafii Mkwepu(46) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka mawili likiwemo la kujipatia Sh62 milioni kwa njia ya udanganyifu. Mkwepu amefikishwa mahakamani hapo leo, Julai 25, 2025 na kusomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki. Wakili wa Serikali, Frank Rimoy alidai kuwa mshtakiwa anakabiliwa na kesi…

Read More

Rais Samia kuzindua SGR ya mizigo

Dar es Salaam. Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema Rais Samia Suluhu Hassan atazindua reli ya kisasa ya mizigo (SGR) pamoja na kupokea mabehewa 70 yatakayotumiwa na reli ya zamani (MGR). Mabehewa hayo yatajumuisha mapya 50 na mengine 20 yaliyofanyiwa ukarabati na yatatumiwa na reli ya zamani kufanya shughuli za usafirishaji wa mizigo. Hayo…

Read More