
Mbaroni kwa tuhuma za kuwachinja watoto watatu wa mke mdogo
Ruvuma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia mtuhumiwa Wende Luchagula (30), Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa tuhuma za mauaji ya watoto watatu wakiwamo pacha wawili ambao ni wa mke mdogo kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Marco Chilya tukio…