
Dk Kitine: Shujaa wa usalama, ukombozi aliyemaliza mwendo duniani
Dar es Salaam. Tanzania imeondokewa na mmoja wa mashujaa wake, Dk Hassy Kitine, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu 1978 hadi 1980. Alikuwa pia mshauri wa karibu wa Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere na mmoja wa viongozi waliokuwa na uelewa mkubwa wa masuala ya usalama na ukombozi wa…