
Samia alivyoongoza kumbukumbu ya mashujaa
Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan amewaongoza Watanzania kuadhimisha Siku ya Mashujaa. Baada ya kuwasili katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba, mkoani Dodoma yalikofanyika maadhimisho hayo leo Julai 25, 2025 Rais Samia amepokewa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda. Kisha ilitolewa salamu ya heshima kwa Rais ikifuatiwa na wimbo wa…