
TotalEnergies Yapanua Mradi wa VIA Creative Kufikia Wanafunzi wa Sekondari
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Katika kuimarisha usalama wa wanafunzi barabarani, kampuni ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited kwa kushirikiana na TotalEnergies Foundation na NafasiArt Space, wamezindua rasmi mradi wa VIA Creative kwa mwaka 2025 ambao unatumia sanaa ya muziki, maigizo na njia bunifu kuelimisha na kuwahamasisha wanafunzi kuhusu usalama barabarani. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi…