KCCT, Kilombero Sugar Yatoa mafunzo na Kuwatunuku Vyeti Wakulima 734 wa Katika Bonde la Kilombero

TAASISI ya Kilombero Community Charitable Trust (KCCT), kwa kushirikiana na Kampuni ya Kilombero Sugar Company Limited (KSCL), imefanikiwa kutoa mafunzo na kuwatunuku vyeti wakulima 734 wa miwa kutoka vyama 17 vya ushirika (AMCOS) kupitia mpango wa Elimu Tija katika Bonde la Kilombero. Mpango huu wenye mwelekeo wa kubadilisha maisha ya wakulima ulikuwa na mafunzo ya…

Read More

Mastaa Yanga, Simba wabebeshwa jukumu CHAN 2024

Wakati zikibaki siku nane (8) kabla ya kuanza kwa fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Hemed Morocco amewataka wachezaji wa Simba na Yanga kuwa chachu ya mafanikio ya timu hiyo kwenye fainali hizo. Taifa Stars iliyo katika kundi B la…

Read More

Simba yabisha hodi Mamelodi, yaondoka na De Reuck

SIMBA inaripotiwa imemnasa beki wa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, Rushine De Reuck kwa mkataba wa mwaka mmoja. Mtandao wa idiskitimes.co.za wa Afrika Kusini umeripoti kwamba beki huyo mwenye umri wa miaka 29 anaondoka Mamelodi Sundowns baada ya kuitumikia kwa miaka minne. Ndani ya Simba, De Reuck anategemewa kuziba pengo la Che Fondoh Malone ambaye ameachana…

Read More