
Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kipigo Bukombe
Geita. Mwanamke mmoja, Manila Kiselya (48) Mkazi wa Kitongoji cha Majengo, Kata ya Katente wilayani Bukombe, amefariki dunia baada ya kudaiwa kushambuliwa kwa kipigo na mume wake kutokana na kugoma kumpa fedha alizokopa kwa ajili ya biashara. Inadaiwa mwanamke huyo alikopa fedha kwenye moja ya taasisi za fedha ili kuongeza mtaji wa biashara yake lakini…