
Beki Simba Queens atimkia Misri
ALIYEKUWA beki wa Simba Queens, Violeth Nickolaus ameshajiunga na kikosi cha FC Masar kinachoshiriki Ligi ya Wanawake huko Misri. Violeth, aliyekuwa nahodha wa Simba Queens, aliondoka nchini juzi kujiunga na kambi ya timu hiyo inayoanza maandalizi ya mashindano ya kufuzu Ligi ya Mabingwa kwa wanawake yatakayoanza mapema mwezi ujao. Akizungumza na Mwanaspoti, mmoja wa watu…