Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewaapisha wakuu wa wilaya watano na Mkuu wa Mkoa aliowateua hivi karibuni huku wakiahidi kushughulikia changamoto zinazowakumba wananchi
Month: July 2025

Dar es Salaam. Makada 5,475 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamejitokeza kuomba ridhaa ya chama kuteuliwa kuwania nafasi za ubunge katika majimbo mbalimbali nchini katika

Arusha. Serikali inatarajia kuanzisha biashara ya kuuza wanyama hai kwa mataifa mbalimbali duniani, ikiwa ni juhudi za kuboresha uchumi wa wafugaji pamoja na kukuza pato

Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa maagizo kwa kamati za siasa za chama hicho kutenda haki na wasionee watu katika vikao vya mchakato

Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejikusanyia zaidi ya Sh3.5 bilioni kutoka kwa watia nia wa udiwani, wabunge na uwakilishi katika kinyany’anyiro cha kupata

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inaweza kutengeneza nafasi kubwa ya kuwa kituo cha elimu ya ubunifu kikanda na kimataifa kutokana

WAKATI usaili wa wagombea 25 waliojitokeza kuwania nafasi za kuliongoza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ukifanyika jana uchaguzi huo umepingwa katika ofisi za Baraza la

Dar es Salaam. Miaka 10 ya Kassim Majaliwa kama Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ya kipekee machoni mwa Watanzania, kuanzia kwenye

-Mkopo wa hadi Shilingi Milioni 133 kwa riba ya 5%-7% kutolewa -Marejesho ni ndani ya miaka 7 -Lengo ni kuhakikisha bidhaa za mafuta zinapatikana kwa

BAADA ya Jonas Mushi kutoka timu ya Stein Warriors kushika nafasi sita katika ufungaji wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), ametamba